Our Service Charters

Kenya Forestry Research Institute is mandated to conduct research in forestry and allied natural resources, disseminate research findings to stakeholders, build capacity of stakeholders and establish partnerships and cooperate with other research organizations and institutions of higher learning in joint research and training.

KEFRI Charter


Research and Development Directorate is mandated to conduct research and development in forestry and allied natural resources for socio-economic development.

Reserch and Development

Corporate Affairs and Quality Assurance Division is mandated to enhance corporate communication and publicity, quality assurance, and sustaining customer satisfaction and retention.

Reserch and Development

Finance Division is mandated to provide prudent financial management to achieve KEFRI’s overall objectives.

Reserch and Development

Human Resource Division is mandated to provide professional human resource services to support KEFRI’s overall objectives.

Reserch and Development

Administration Division is mandated to provide support services towards achievement of KEFRI’s overall objectives.

Reserch and Development

Internal Audit Division is mandated to enhance systems and processes of risk management, control and governance within KEFRI.

Reserch and Development

Supply Chain Management Division is mandated to support research and development through provision of goods and services.

Reserch and Development

Knowledge Management Unit is mandated to manage information and knowledge to achieve KEFRI’s overall objectives.

Reserch and Development

KEFRI Laboratories are mandated to conduct analytical services in support of research and development.

Reserch and Development

Enterprise Unit is mandated to offer conference and hospitality services to its customers.

Reserch and Development

Karura workshop is mandated to provide high quality wood and non-wood forest products.

Reserch and Development

Kenya Forestry Seed Center is mandated to provide quality seeds and seedlings to support research and development.

Reserch and Development

Taasisi ya Utafiti wa Misitu ya Kenya ina jukumu la kufanya utafiti katika misitu na maliasili washirika, kusambaza matokeo ya utafiti kwa washikadau, kujenga uwezo wa washikadau na kuanzisha ushirikiano na kushirikiana na mashirika mengine ya utafiti na taasisi za elimu ya juu katika utafiti na mafunzo ya pamoja.

KEFRI Charter

Idara ya Utafiti na Maendeleo inafanya utafiti na maendeleo katika misitu na rasilimali za asili kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Reserch and Development

Idara ya Usimamizi wa Ugavi ina mamlaka ya kusaidia utafiti na maendeleo kupitia utoaji wa bidhaa na huduma

Reserch and Development

Idara ya Fedha ina wajibu wa kutoa usimamizi wa fedha ili kuafikia malengo ya jumla ya KEFRI

Reserch and Development

Idara ya rasilimali ya watu inatoa huduma za kitaalamu za rasilimali ya watu ili kusaidia malengo ya jumla ya KEFRI

Reserch and Development

Idara ya Ukaguzi wa ndani ina wajibu kuongeza mifumo na michakato ya usimamizi wa hatari na udhibiti wa ndani ya KEFRI

Reserch and Development

Idara ya maswala ya ushirika na uhakikisho wa ubora ina jukumu la kuimarisha mawasiliano ya ushirika na utangazaji, uhakikisho wa ubora na kudumisha uridhisho na uhifadhi wa wateja

Reserch and Development

Idara ya Utawala inatoa huduma za msaada ili kufikia malengo ya jumla ya Kefri

Reserch and Development

Kitengo cha usimamizi wa maarifa ina jukumu la kusimamia habari na maarifa ili kufikia malengo ya jumla ya KEFRI

Reserch and Development

Maabara ya KEFRI inajukumu la kufanyahuduma za uchambuzi kwa msaada wa utafiti na maendeleo

Reserch and Development

Kitengo cha biashara kinatoa huduma za mikutano na ukarimu kwa wateja wake

Reserch and Development

Karakana ya Karura inatakiwa kutoa bidhaa bora ya mbao na isiyokuwa ya mbao

Reserch and Development

Kituo cha Mbegu cha KEFRI kinatoa mbegu bora na miche ili kusaidia uchunguzi na maendeleo

Reserch and Development